Kwa kupenda utofauti tulikaa chini na kaka yetu John B tukaona ni busara
kufanya kitu tofauti na vingi vilivyozoeleka kutokea
kaskazini,tukafanya hii kitu,ni video ya wimbo wangu Chalii Mtoto wa
Bibi nikiwa na Jordan aliyehit sana na ngoma yake Mapenzi Vita
"Kipendacho Roho",nashukuru kwani kazi imekwisha kukamilika chini ya
usimamizi mkubwa kabisa wa Digital Media Studios ambayo inasimamiwa na
Ben,Dominick na producer wetu John B,ngoma imefanyika Grandmaster
Records,ni kitu kizuri kwaajili ya fans wetu,kaeni mkao wa kula
No comments:
Post a Comment