Mshindi wa Pikipiki
katika Promosheni ya Timka na BodaBoda inayoendeshwa na Vodacom Tanzania
Bi.Hellen Kilawe akionyesha namba ya pikipiki aliyokabidhiwa na Meneja Uhusiano
wa Umma wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu. Katika Hafla ya kukabidhi pikipiki kwa
washindi wa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani. Jumla ya pikipiki 25 na fedha
taslimu zilikibidhiwa kwa washindi hao. Wanaoshuhudia ni washindi wengine wa promosheni
hiyo. Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mshindi wa Pikipiki
katika promosheni ya Timka na Boda Boda inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Bw.Shadrack
Moses Pamoja na Meneja Uhusiano wa Umma
wa kampuni hiyo,Bw.Matina Nkurlu wakihakiki kadi ya pikipiki wakati wa makabidhiano
yaliyofanyika katika Stoo za ofisi hiyo zilizoko Shekilango jijini Dar es Salaam.
Pikipiki 25na fedha taslimu zilikabidhiwa kwa wakazi wa Dar es Salaam na Pwani.
Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo
kwenda 15544.
Mshindi wa Pikipiki
katika Promosheni ya Timka na BodaBoda inayoendeshwa na kampuni ya Mawasiliano
ya Vodacom Bw.Joseph Mambo akionyesha namba ya pikipiki aliyokabidhiwa na
Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu. Katika Hafla ya
kukabidhi pikipiki kwa washindi wa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani. Jumla ya pikipiki
25 na fedha taslimu zilikibidhiwa kwa washindi hao. Wanaoshuhudia ni washindi
wengine wa pikipiki hizo. Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Meneja Uhusiano wa
Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia)akimfungia kamba ya kofia
ngumu”Helmet”Mshindi wa Promosheni ya “Timka na BodaBoda Bw.Joseph Mambo, Katika
Hafla ya kukabidhi pikipiki kwa washindi wa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani.
Jumla ya pikipiki 25 na fedha taslimu zilikibidhiwa kwa washindi
hao.anaeshuhudia kushoto ni Ofisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid
Maggid.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mshindi wa Pikipiki
katika Promosheni ya Timka na BodaBoda inayoendeshwa na Vodacom Tanzania
Bi.Aziza Suleiman akipanda kwenye pikipiki yake aliyoshinda katika promosheni
hiyo huku akisaidiwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina
nkurlu(kulia)wakati wa Hafla ya
kukabidhi pikipiki kwa washindi wa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani. Jumla ya
pikipiki 25 na fedha taslimu zilikibidhiwa kwa washindi hao. Wanaoshuhudia ni
washindi wengine wa pikipiki hizo. Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mshindi wa Pikipiki
katika Promosheni ya Timka na BodaBoda inayoendeshwa na Vodacom Tanzania
Bi.Aziza Suleiman akipunga mkono wakati akiondoka na pikipiki yake mara baada
ya kukabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina nkurlu(kushoto)wakati
wa Hafla ya kukabidhi pikipiki kwa
washindi wa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani. Jumla ya pikipiki 25 na fedha
taslimu zilikibidhiwa kwa washindi hao. Wanaoshuhudia ni washindi wengine wa
pikipiki hizo. Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
·
Washindi 25 wa Timka na Boda
Boda.
·
Washindi 12 walamba Milion kumi
na sita
·
Neema zaidi kuendelea kumiminika.
Dar
es Salaam, 19th Novemba, 2013….Baada ya
washindi zaidi ya 125 kujishindia Boda Boda na wengine kuendelea kujishindia
fedha taslimu kila siku kutoka kampuni ya simu ya Vodacom ambazo ni zaidi ya
milioni 430 zilizotengwa ndani ya siku 100. Vodacom Tanzania kwa mara nyingine
tena katika kuhakikisha inabadili maisha ya kila mteja wake imekabidhi
Boda Boda kwa washindi 25 ambao ni wakazi wa mkoa Dar Es Salaam na Pwani.
Meneja
Uhusiano wa Umma Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu amewashauri watanzania wote
kuzidi kuendelea kushiriki katika promosheni hiyo inayoendelea kwa kasi zaidi
ya miezi mitatu. Aliendelea na kusisitiza kuwa Kampuni yake imejidhatiti
kuhakikisha haipo mbali na wateja wake kwa kuendelea kuwanufaisha kwa kuwapa
Boda Boda ambazo zitakuwa ni si tu kuwasaidia kwa usafiri bali ni msingi
mzuri katika kuendeleza biashara zao.
”Kampuni
yetu ipo kumnufaisha kila mmoja na imepania vikali kuhakikisha kila mtanzania
anapata msingi ambao anaweza kutumia katika kuendeleza biashara zao, kwani siku
hizi biashara ya Boda Boda imekuwa ni mwokozi kwa walio wengi ambao huongeza
kipato chao kupitia biashara hiyo na ndio maana sisi Vodacom tumetenga piki
piki zenye gharama ya kitanzania shilingi bilioni 1 kwaajili ya wateja wetu
wote nchini” alisema Matina
Akiongezea
kuwa “Kila mmoja anatamani kuwa na msingi ambao utamuwezesha aweze kuwa na
biashara yake ambayo itamuingizia kipato matokeo yake kujikwamua katika hali ya
kiuchumi, hivyo basi ni wakati wa kila mmoja kunufaika na promosheni mbali
mbali zinazazotolewa na kampuni yetu, na ningependa kuendelea kuwashauri wateja
wote wanaoshiriki na wanaoanza kushiriki kuzidi kuendelea kwani ni haki ya kila
mtanzania kujishindia boda boda kutoka Vodacom”
Ili
kuweza kuwa mmoja kati ya washindi kutoka promosheni hiyo ya Timka na Boda Boda
ni rahisi sana, wateja wote wa Vodacom wanatakiwa kushiriki kwa kuandika neno
PROMO na kutuma kwenda namba 15544.
Mwisho.
No comments:
Post a Comment