Meneja Mauzo wa duka la Vodacom Mlimani City,Bw.Salim
Salimin,akimuonesha simu ya toleo jipya aina ya Samsung Galax note 3
yenye thamani ya Tsh 1,400,000 Bw.George Masawe wa pili toka kushoto
alipofika dukani hapo kwaajili ya manunuzi ya simu hiyo.Wengine
wanaoshuhudia ni baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo kushoto Elihuruma
Ngowi na wapili toka kulia ni Edwin Byampanju .
Meneja uendeshaji maduka ya Vodacom Tanzania Bw.Elihuruma Ngowi
akimuonesha mteja Bw. George Masawe saa aina ya Galax 3 yenye thamani ya
Tsh 600,000 alipofika dukani hapo kwa thumuni la kununua saa hiyo
inayopatika katika maduka ya Mtandao unaoongoza Tanzania wa
Vodacom,kushoto ni Meneja Mauzo wa duka la Vodacom Mlimani City,Bw.Salim
Salimin.
No comments:
Post a Comment