Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim akiwaonesha
waandishi wa habari(hawapo pichani)jinsi washindi wa promosheni ya
Mkwanja kwa Wakala wanavyotumiwa fedha
zao za ushindi Sh.100,000 kila mmoja. Droo hiyo inayowahusisha mawakala
wa M-pesa nchi nzima hutoa washindi 270 kila wiki. Kutoka kushoto ni
Meneja wa M-pesa Gloria Njiu, Meneja Fedha Abdon Joseph na Mhasibu
Mwandamizi – M-pesa Deogratius Shrima(aliyeketi).
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim
akisisitiza jambo
kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kuchezesha droo ya Mkwanja kwa Mawakala,Jumla ya
270 walitumiwa pesa zao
walizoshinda Sh. 100,000 kila mmoja
kwa njia ya M-PESA,Wanaoshuhudia
kutoka kushoto ni Meneja wa M-pesa Gloria Njiu, Meneja Fedha Abdon
Joseph na Mhasibu Mwandamizi – M-pesa Deogratius Shrima(aliyeketi).
Mhasibu
Mwandamizi wa M-pesa Deogratius Shirima (aliyeketi) akiwaonesha kutoka
kulia waliosimama Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim. Meneja
wa Fedha – M-pesa
Abdon Joseph na Meneja wa M-pesa Gloria Njiu jinsi mfumo wa malipo wa
M-pesa unavyotumika kuwatumia washindi 270 wa Mkwanja Kwa Wakala kila
wiki Sh.100,000 kila mmoja.
No comments:
Post a Comment