22.11.13

Sunday, November 17, 2013

(Photo's) Hivi ndivyo NIKKI WA PILI na washkaji zake walivyokula ndoto ya MASTER OF ARTS IN DEVELOPMENT MANAGEMENT pale CHUO KIKUU CHA MLIMANI

 Anajulikana na mashabiki kwa jina la Nikki wa Pili msanii wa Hip Hop nchini anayeliwakilisha lile kundi la WEUSI, jana tarehe 16 Nikki alikuwa ana graduation pale maeneo ya Mlimani City Hall na hizi ni baadhi tu ya picha alizozipiga na kuziweka kwenye Instagram yake akiwa na marafiki zake.

No comments: