22.11.13

Tuesday, November 05, 2013

(Photo's) Jiachie na camera ya DJCHOKAblog SONGEA na MBINGA

 Prof Jay akiwa na huyu jamaa ambaye ni mrefu sana tulikutana nae pande za Mbinga ambapo tulienda kwenye show ya Radio Jogoo FM.

 Hapa tulikuwa njiani tukitokea Mbinga tukielekea Songea mjini ndipo mwanadada Lady Jay Dee alipoona sio mbaya akaendelea na kipindi chake cha Diary kukishuti eneo hilo ambalo tulipendezwa nalo.

Baada ya kumaliza show zote 3 ndipo jana jumatatu tukarudi zetu Dar na picha hii niliipiga kwa juu wakati tukiruka juu na hivyo ndivyo jiji la Songea linavyoonekana ukiwa juu.

3 comments:

Kamrela Mtekateka said...

Dah home sweet home, rive side beybeh

Kamrela Mtekateka said...

Yap River Side,home sweet home,mepamis hom Songea Ruvuma nyumbani

Kamrela Mtekateka said...

Yap nimepamis hom River side (Songea,Ruvuma nyumbani