22.11.13

Monday, November 18, 2013

(Video Clip + Picture) DIAMOND haudhuria harusi ya PETER wa PSQUARE muda huu huko LAGOS-NIGERIA

 Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
 Emanuel Adebayo & Diamond

 Diamond & Iyanya

 Peter & Emanuel Adebayo

 Baada ya hapo ikafika zamu ya Diamond kuwaonyesha wa Naija kuwa na sisi wabongo hayo mambo tunayaweza.


No comments: