Hii ni video mpya ya Wateule, video hii inaitwa Msela na kampuni iliyoitengeneza video hii ni Visul Lab Next level. Mwanzo tulisikia wimbo huu wa msela unawasanii 3 na baadae tukaja kusikia una wasanii 4 nikimaanisha Jay Moe, Mchizi Mox, Jafaray na Solo Thang. Lakini video hii leo hii tumeipata na inaonyesha wasanii 3, na mwanzo Solo alisema atatuma vipande vya video akiwa huko anakoishi, chakushangaza video imetoka hatumuoni Solo, sasa sijui nini tatizo.
3 comments:
NICE VIDEO WATEULE, video imekaa ki level nyingine kabisa, bigup sana jay moe
wateule wamerudi!!!!!!!!!!!
yes nyimbo imetulia wateule,stay together guys,respect.may n ummi
Post a Comment