22.11.13

Friday, November 22, 2013

NAWASHUKURU SANA KWA KUTEMBELEA DJCHOKAblog SINCE 2009

Mambo vipi wadau...
Imekuwa ni muda mrefu sana tumekuwa wote tokea 2009 mpaka leo hii na bila kutetereka, nimepita vishawishi vingi mabonde na milima na vyote nikavivuka huku nikiwa na nyinyi wadau wangu wa DJCHOKAblog. 

Nilishakatishwa tamaa lakini nikamweka mungu mbele na nikasema nitavishinda vita hivi, na leo najaribu kusema naendelea kumwomba mungu huu mziki ninaupiganie ufike sehemu hata usipofika lakini naweza subutu kusema nilijaribu kidogo. 

Natoka rasmi kwenye blog nahamii kwenye website, nilikuwa namajina mengi sana yakuiita hii website yangu mpya lakini majina hayo yote yangu yameshawahiwa na watu nisiowajua na wakanunua Domain na kuzimiliki. Lakini sikukata tamaa ndipo nikaona niite website hii yetu kwa jina la DJ CHOKA MUSIC. Nikiwa na maana vitu vitakavyokuwa ndani ya hii website asilimia 90 ni mziki na habari za wasanii wetu wa nyumbani. Bado sijajua mbele kukoje ila naomba ushirikiano wetu ili tuweze kuuvuka huu mto mkubwa ambao uko mbele yetu.

SINA CHA KUWALIPA ZAIDI YA ASANTE KWA KUTEMBELEA DJCHOKAblog NA ASANTE KWA WEWE MDAU WANGU MZURI UNAYENIOMBEA MAZURI KILA KUKICHA NA ASANTE WEWE ADUI YANGU UNAEPENDA KUKATISHA MAENDELEO YANGU.

NAWEZA KUSEMA MANENO HAYA MACHACHE TU
Maisha ni kuendelea hadi zamu yangu ya kushinda ifike. Sikatishwi tamaa na kushindwa ndipo nitaona kuwa ugumu nikipindi cha mapito kuelekea mafanikio.
 
NAWAPENDA SANA

It's me
DJ CHOKA aka MR APPETITE

Thursday, November 21, 2013

(News) WASHINDI 270 WA PROMOSHE YA MKWANJA KWA WAKALA WATUMIWA PESA ZAO KWA M-PESA

 Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani)jinsi washindi wa promosheni ya Mkwanja kwa Wakala wanavyotumiwa fedha zao za ushindi Sh.100,000 kila mmoja. Droo hiyo inayowahusisha mawakala wa M-pesa nchi nzima hutoa washindi 270 kila wiki. Kutoka kushoto ni Meneja wa M-pesa Gloria Njiu, Meneja Fedha Abdon Joseph na Mhasibu Mwandamizi – M-pesa Deogratius Shrima(aliyeketi).

(News UPDATE) Kisa cha MABESTE kutoka B'HITZ MUSIC GROUP ni hiki hapa

Baada ya kutamka kuwa hayupo tena kwenye team ya B'hits msanii wa Hip Hop nchini aliwaacha mashabiki wake midomo wazi na wengine kutaka kujua ni nini kimetokea sasa Mabeste amefunguka hapa na kusema
"Tatizo ni maelewano ya kibiashara kati ya mimi na uwongozi wa B"hits na si vinginevyo.....!! Akuna mtu ambaye apendi kuona faida kwenye kazi yake...!! Na kwasababu music ni kazi ...Baaasi nimejaribu kutetea kazi yangu...!! Pamoja saana"

(New Audio) Biggie Boss ft. Saigo & Mchizi Mox - Machale Yamenicheza

Mambo Vp Wadau...Pateni ujumbe huu unaoitwa "MACHALE YAMENICHEZA"..Hii ngoma ni ya Biggie Boss akiwa amewashirikisha Saigon kutoka Diplomats na Mchizi Mox kutoka Wateule..Ngoma hii ni Inspiration kutokana na majanga yaliyotukuta kwa mfulizo mwaka huu katika mziki wetu wa hiphop bongo..Ujumbe mkubwa ni kwamba "hakuna maisha mengine zaidi ya haya kwa hapa duiniani kwahiyo tujitahidi kuishi kwa kuyajali maisha yetu hasa upande wa vilevi haramu"...Pamoja sana na tunaomba support yenu kusambaza ujumbe huu...

SONG: MACHALE YAMENICHEZA
ARTIST: BIGGIE BOSS FT. SAIGON & MCHIZI MOX

(News) MABESTE hayupo tena B'HITZ MUSIC GROUP kuanzia sasa.

Baada ya msanii wa kike Vanessa Mdee kusema hayuko tena BHITS MUSIC GROUP sasa msanii mwingine aliyesema hayupo tena BHITS ni MABESTE. Katika ukurasa wake wa Facebook Mabeste hajaelezea chanzo cha kwanini hayupo tena katika group hilo la BHITS. Unaweza kumcheki hapa kwenye Facebook Account yake. 

(New Audio) Bwana Misosi ft Namcy - Vuta Raha


(Audio) Dipper ft Gentriez - U Got Me

Mwanadada Dipper amshirikisha  Gentriez katika "U Got Me",sweet reggae riddim juu ya mdundo wa Corner Shop Riddim na vocal pande za noizmekah studios chini ya Defxtro, Sikiliza/download HAPA na kwa mawasiliano na Dipper +255 765 852 314 powered by www.vmgafrica.com
--
Dipper ft Gentriez-U Got Me http://goo.gl/Ah0Rm7

(News) Tash official Song Coming soon

Brand New Track Tash a.k.a Masai Tozi official Trak iliyotengenezwa na Mesen Selekta Soon Itakuwa Tayar,Kwa wale wapenzi WA MuleMule huu ndio mkao wa kufuraia ladha nyingine tofauti kutoka Kwa Tash........stay tune!!!!!

Wednesday, November 20, 2013

(New Audio) Nay wa Mitego - Nakula Ujana

Kuelekea #PSquareLiveInDar USIKOSE kutazama P-SQUARE LIVE TV SHOW leo saa MOJA KAMILI USIKU ndani ya EATV


(Official Music Video) Cypreezy - Punjani

(News) KCB TANZANIA YATOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MKOA WA ARUSHA

 Baadhi ya wajasiriamali wadogo na wa kati wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanya kazi wa Benki ya KCB Tanzania,mara baada ya kumaliza semina ya kuelimisha wajasiriamali wa mkoa huo jinsi ya kufanya biashara na kutumia mikopo kwa usahihi,Semina hiyo iliyoandaliwa na benki hiyo imefanyika kwa siku moja jijini Arusha.

(News) Mini ZIFF na Filamu za Bongo

MINI ZIFF 2013 inafanyika sambamba na Sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Tamasha hili dogo litafanyika tarehe 10 -12 Jan, 2014 na kama kawaida ZIFF itatoa tuzo 10 za Filamu kwa waliofanya vizuri kwa mwaka 2013 katika filamu za Kiswahili (Bongo Movie). Tuzo zitakazotolewa ni Muigizaji Bora wa Kiume na Kike, Muongozaji Bora, Filamu Bora ya Mwaka, Muigizaji anayechipukia, Filamu bora katika Sauti, Filamu bora katika Hadithi, Balozi bora wa Filamu za kitanzania, Kampuni au mtu aliyetoa mchango mkubwa katika Tasnia hii kwa mwaka huu na Tuzo ya Heshima. Tamasha hili dogo litajumuisha filamu za kitanzania peke yake  (Bongo movies) ilikuendelea kutoa mwamko kwa watengenezaji filamu wa Tanzania kufanya vyema katika tasnia hii, Tamasha hili ni utangulizi wa tamasha kubwa la ZIFF litakalofanyika 14 – 22 Juni, 2014.

(News) Kaa tayari kwa show hii mpya kutoka CREATIVEMINDS "DAY ONE"

Brand new show coming soon, from the producers of the session,creativemindstz presents "DAY ONE"
LAUNCH ON 27.11.2013......

(Official Music Video) Natty E ft. Kala Jeremiah 0444 - Vuta Taswira

(The Making of Music Video) Tox Star ft. Bob Juniour - TUKUTANE KITAANI

(Official Video + Audio) Kala Jeremiah ft. Nay Lee - WALE WALE

PRINCE HEALTH CLINIC & SPA NDIO WAJANJA WA KUKUFANYIA MASSAGE MWILI WAKO, HEBU WACHEKI HAPA

 Hiki ni kiota kipya kabisa cha kufanya Massage parlor and beauty therapy, nilibahatika kupita eneo hili nakujionea mwenyewe jinsi kazi inavyopigwa na wadada na wakaka walioko hapo Prince Health Clinic iliyopo maeneo ya Samnujoma RD, Opp na Calabash kama unatokea maeneo ya Mwenge stand basi yenyewe iko upande wa kushoto utaona geti lao lipo barabarani kabisa pia unaweza kuwacheki kupitia email yao hii princeandbeauty@gmail.com AU princeandbeautyparlour@yaho.com 
Pia wanapatikana Instagram unaweza kuwacheki hapa http://instagram.com/princehealth_beautyparlour  Au kama unataka kuweka booking kabisa ili ukifika usikae kwenye foleni unaweza kuwapigia kwa namba hii +255 765 250 025, +255 767 138 801, +255 714 411 145 na bei zao ni nzuriiiiiiiiiiiiii hadi raha

(News) HAYA HAYA TANZANIA 2 Days to go..LETS VOTE for AY #CHOAMVA

Voting continues #MostGiftedMaleVideo category #CHOAMVA SMS 1D To +2783142100415" AND #MostGiftedEastVideo SMS 12D to +2783142100415" #Road2ChannelOConcert #Choamva

Tuesday, November 19, 2013

Jumapili hii CLUB BILICANAS inakuletea usiku wa TEMA MATE CHAPA NYINGINE


(News) Dar, Pwani wakabidhiwa bodaboda zao

 Mshindi wa Pikipiki katika Promosheni ya Timka na BodaBoda inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Bi.Hellen Kilawe akionyesha namba ya pikipiki aliyokabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu. Katika Hafla ya kukabidhi pikipiki kwa washindi wa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani. Jumla ya pikipiki 25 na fedha taslimu zilikibidhiwa kwa washindi hao. Wanaoshuhudia ni washindi wengine wa promosheni hiyo. Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.

Wema Sepetu "In my shoes" MSIBA EPISODE 5

UHURU MARATHON 8 December 2013

(New Audio) Deejay Aaron ft. Linnah & Kitokololo - NO LOVE

ENPRG & Josh Beats Prod Announces the New single Just The Way from Yezzi Yezzir.

London, UKENPRG & Josh Beats Prod is thrilled to announce the release of the latest single from Yezzi Yezzir, the single entitle Just The Way will be available on all good download from 30/10/13.
 
While some may argue maybe the collaboration of Yezzi Yezzir and Moogs is very rare, different even unique to some, to many this was unexpected. Nevertheless it has happened, Yezzi Yezzir, a female rapper turned AfroPop / Dance songwriter and choreographer has clearly been working hard on her musical style, such a versatile entertainer, and her recent venture to the AfroBeat genre it is fair to say that the current completed single entitled “Just The Way” may just be her ticket to join the ever growing list of AfroBeat musicians in the United Kingdom. “Just The Way” is a sugar coated, cheeky high school musical, yet club like fitness time of song, and with enough autotune in such a catchy verse many will find it hard to stop the heads, arms and hips from moving side to side.

(Official Music Video) Raz - Niache Nidate

Monday, November 18, 2013

Kaa tayari kwa ujio mpya kutoka kwa NAY WA MITEGO unajua anakuja vipi safari hii...? Stay tune


Get ready for Vibe Magazine New issue. Release date: 19th Nov 2013.


(News) MAWAKALA M-PESA WAENDELEA KUNG'ARA

 Meneja wa Vodacom Moshi Michael Kambi (kulia) akimkabidhi wakala wa M-pesa wa mjini Moshi Anna Theobald mfano wa ujumbe wa simu unaomjulisha kupokea Sh 100,000 kwa njia ya M-pesa kutokana na ushindi kupitia droo ya promosheni ya Mkwanja kwa Wakala inayoendeshwa na Vodacom kwa mawakala wa M-pesa nchi nzima. Anna ni mfanyabishara wa duka la vipodozi mjini humo.

Wema Sepetu "In my shoes" MSASANI EPISODE 4

JE una tiketi yako ya P-SQUARE? Kama bado jipatie tiketi yako ya P-SQUARE sasa katika vituo hivi.


(News) JAMBO SQUARDS NA LADY FIRE WATISHIWA KUUAWA NA MTU ANAYEJIITA KAKA KIBO WA ARUSHA

Kuanzia kushoto ni Nigger C, Ordinally na Lady Fire

Exclussive akiongea na DjHaazu wa MJ FM Arusha mmoja kati ya member wanaounda kundi la Jambo Squard NIGGER C a.k.a Chaalii Mtoto wa bibi amefunguka kuhusu wao kutishiwa Kuuwawa na mtu ambaye anajihisi kuwa yeye ndiye Wamemuimbia wimbo unaokwenda kwa jina la KAKA KIBO ambapo ngoma hiyo ilitungwa na Vijana hao na kupewa nafasi ya kuiimba Mdogo wao anayejulikana kwa jina la Lady Fire Manzi ya Ara.

(Official Music Video) Jambo Squad Chalii Mtoto wa Bibi ft Jordan - KIpeNDaChO RohO

(Video Clip + Picture) DIAMOND haudhuria harusi ya PETER wa PSQUARE muda huu huko LAGOS-NIGERIA

 Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond

Sunday, November 17, 2013

(New Audio) Don Kol Hombi ft. Chibwa & Alice - Tikisa Gambe.

Don Kol Hombi mdogo wa mwisho katika familia aliyotokea mwanamziki mkongwe wa Hip Hop Nchini PROF JAY pamoja na Black Rhino na Simple X. Katika familia hii ya mzee Haule huyu ndio mtoto wa mwisho na yeye akaona sio mbaya kufuata nyayo za kaka zake na huu ndio wimbo wake mpya unaoitwa TIKISA GAMBE akiwa amemshirikisha mwanadada Alice na mtu mzima Chibwa. Chukuwa nafasi hii kuusikiliza wimbo huu halafu unipe comment yako

(Video) Canibal Shattah Rolling In Dubai

Canibal Shattah Is Not Stranded In Dubai As Earlier Reported, He Decide To Extend His Tour & He Does Not Care What Prezzo Thinks or Talk About Him Because He Is a Legend

(Official Music Video) DR JOSE CHAMELEONE - TUBONGE

(News) Ben Pol na Joh Makini kupafomu na P-SQUARE

 Yule BEAUTIFUL ONYINYE Lazima aambiwe BEI YA MKAA ili awe tayari kuwa WA UBANI na atasema NIKUMBATIE maana NO ONE LIKE YOU.

Mkali wa R&B Bongo Ben Pol na Mkali wa michano toka WEUSIII Joh Makini nao pia ni wasanii watakaopanda jukwaa moja na P-SQUARE siku ya Novemba 23.

Hawa wasanii wanne tu toka Tanzania Lady Jay D, Ben Pol, Profesa J na Joh Makini ndio watapanda jukwaa moja na P-SQUARE ili kukupa muda mrefu wa burudani yenye viwango toka kwa P-SQUARE

(Photo) Behind the Camera Last Night DIAMOND ft DAVIDO "NUMBER ONE REMIX"

 
Naamini ipo siku nasi Tanzania tutasimama Vyema Katika ramani hii ya muziki Worldwide na kuipa sifa na Heshima zaidi East Africa yetu.... Eeeh Mwenyez Mungu ibariki Tanzania, ibariki East Africa na Africa yetu kwa ujumla.... #LastNight #Onset #NumberOneRemix #DiamondFtDavido #ClarencePeterBehindTheCamera

 Meneja wa Tip Top Babu Tale akiwa na Davido wakati wa utengenezaji wa video hiyo ya Diamond pande za Lekki-Ikoyi (Lekkoyi) Bridge Lagos

(News) Leo ni SIKU YA MWISHO ya kununua TIKETI za P-SQUARE LIVE IN DAR kwa M-PESA!

Fanya hima ununue SASA kwa kuwa kuanzia kesho bei ya tiketi itapanda!

KUNUNUA: Ingia kwenye menyu ya M-PESA kwa kubonyeza *150*00# kisha nenda kwenye LIPA KWA MPESA na uingize namba ya malipo ambayo ni 111222.

KAZI NI KWAKO!

(Video Teaser) Witnesz and Ochu Sheggy "THINK ABOUT IT"

Pata kujua historia kwa ufupi kwa nini Think about it ina audio versions nyingi tangu mwaka 2008 na kuja kumalizika 2013, kwa kuweka muito wa think about it kwa wateja wa tiGo tuma sms yenye code namba 27100 kwenda 15007 stay tuned brand new video coming soon!

Lady Jay Dee, Prof Jay kupafomu na P-SQUARE

Yaani zile JOTO HASIRA zikikutana na ALINGO lazima PERSONALLY utasema CHOP MY MONEY hadi YAHAYA apatikane maana tupo KAMILI GADO!!!

Wale wakali wa muziki hapa Bongo toka enzi hizo, mwanadada Lady Jay Dee (ANACONDA) na Professor Jay watapafomu jukwaa moja na P- SQUARE siku ya Novemba 23 pale Leaders Club.

Endelea kusikiliza East Africa Radio kwa habari zaidi pia kumbuka Zimebaki siku 2 tu za kununua tiketi yako kwa M-PESA kwa elfu 30!!

(News) Vodacom yazidi kupanua wigo wa upatikanaji wa huduma zake

 Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Bw. Yusuph Mwenda(katikati) akisikiliza jambo toka kwa Ofisa Mkuu wa kitengo cha Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Bw.Hassan Saleh(kulia) muda mfupi kabla ya kuzindua  rasmi duka jipya la Vodacom lililopo Shamo Tower Mbezi beach  gorofa ya kwanza jana jijini Dar es Salaam.

(New Audio) Mansu-Li Ft Nikki Mbishi & Belle 9 - Usione Ukadhani

(New Audio) Bob Haisa - Nithamini Nikiwa Hai

(Audio) Dochi - Niambie

(News) MILLEN HAPPINESS MAGESE ATEMBELEA MAENDELEO YA MIRADI MTWARA

Mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Millen Happiness Magese amewataka watu binafsi na makampuni mbalimbali kujitokeza kwa wingi katika kusaidia tasnia ya elimu hasa katika maeneo yasiyopewa kipaumbele ili kuwaokoa watoto wa maeneo hayo kutotumbukia katika vitendo visivyo vya kimaadili. Rai hiyo ameitoa wakati alipotembelea miradi yake aliyoifadhili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa na utengenezaji wa madawati.

(Audio) Sir Tino - Napendeka

(Audio) Nakitambulisha kichwa hiki kidogo YOUNG KACHA na wimbo wake BORA BABA ANGEKUWA MBUNGE

(News) Mwanadada ANGEL kuja na NISAMEHE, stay tune

Msanii Angel wa Tht aliyewakilisha Tanzania kwenye Tusker Project Fame 2013 Anatoa Wimbo Wake 'Nisamehe' Hivi Karibuni.
Fahamu kuwa Angel huyu ndiye uliyemsikia kwenye wimbo wa Ommy Dimpoz 'Baadae' kwenye Chorus kali aliyofanya.