22.11.13

Thursday, September 24, 2009

DODOMA MKO TAYARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

HII NDIO TIMU NZIMA ITAKAYOKANDAMIZA NA KUACHA GUMZO MJINI DODOMA

Fid Q
Juma nature
Ngwea
Marlow
Madee
Quick Racka
Bellenine
Blue
Chidi beenz
Chege & Temba
Ney Wa Mitego
Maze B
Izzo B
Godzilla
Cyrill
Niki Wa Pili
Jonson & Jackson
Jos Mtambo
Sumalee
Dogo Hamidu
Chiku Keto
Maunda Zorro
Akenato

Msanii Albert Mangwea 'Ngwea' na Chid Benz wanatarajiwa kupanda jukwaani katika ufunguzi rasmi wa tamasha la fiesta 2009 litakalofanyika kwa mara ya kwanza jumamosi hii mkoani Dodoma.

Mkurugenzi wa Prime Time waandaaji wa tamasha hilo, Godfrey Kusaga alisema Fiesta ya mwaka huu itafunguliwa mkoani Dodoma na kumalizika visiwani Zanzibar november 7 mwaka huu.

Alisema kuwa mkoa wa Dodoma itakuwa ni mara yao ya kwanza kwa tamasha hilo kuanzia mkoani humo.Alisema baada ya ufunguzi mkoni Dodoma Fiesta itakwenda mkoni Arusha Oktoba 3, wakati huo 10 Mwanza na oktoba 16 watakuwa Musoma mjini.

Safari ya Fiesta itaendelea mkoni Shinyanga mkoani 18 Tanga itakuwa oktoba 24 wakati huo Dar es Salaam itafanyika oktoba 31 kabla ya kumaliza mzunguko wake Novemba 7 visiwani Zanzibar.
Tamasha la fiesta safari hii linadhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd huku kauli mbiu ya tamasha hilo ambalo hukutanisha maelfu ya watu kuwa ni One Love

No comments: