22.11.13

Tuesday, October 27, 2009

FIESTA ONE LOVE TANGA.

Adamu Mchomvu akionyesha tshet juu iliyoandikwa maneno yabusara kabisa, hapa alikuwa na B12 wakifungua show ya Fiesta Tanga.

Vichwa kama unavyoviona vikiwa vimetulia

Baby Madaha akionyesha madaha yake kwa steji

Watoto wa Zanzibar Samaki Samaki waliwakilisha vilivyo

Matonya aliingia na steji show wake na mauno yalikuwa yakutosha.

Hussen Machozi alifanya funiko bovu pale alipoimba na live band.

Align CentreWadada wa THT Band

Belle 9 kijana toka Morogoro aliwakilisha vizuri katika Live Band

Barnaba mzee wa njia panda

Barnaba akiwa na Pipi katika jukwaa la Fiesta Tanga

Alipanda Maunda Zorro kwenye jukwaa baada yakuimba wimbo mmoja akaingia msanii Q.Chief kwenye steji na watu kubaki wakishangaa kumuona maana alikuwa hajaonekana siku nyingi kwenye majukwaa.

Mzee wa Pi pi pi Marlaw

Mzee anayemiliki ma Bullet yote Quick Racka

Fid Q mzee wa Mwanza Mwanza akiwakilisha

Mangwea aka Cowbama aliwakilisha ma speed yake 120

Dad wa mziki huu wa bongo fleva Prof Jay akiwakilisha ipasavyo

Watoto wa Ilalaaaaa Chidi Beenz na Chiku

Adamu Mchomvu akiwaaga wakazi wa Tanga na kuwaambia walale salama.

Jukwaa likionekana kwa mbali.

No comments: