22.11.13

Tuesday, October 27, 2009

HAWA NDIO REBOLZ.

hawa ndio "Rebolz",crew yenye artists wawili, mmoja akijiita FIM rebol na mwenzake PINTO rebol...crew linalotokea kule kule river camp arachuga na raundi hii wanakujia na pini jipya linaloitwa "hood life" ilofanywa pande za noizmekah juu ya beat ya producer bano...pia Rebolz wamekwisha kamilisha video ya nyimbo yao pale HOODPIXX chini ya director defxtro na wapo kwenye harakati za kufikisha nakala katika tv stations...sikiliza trak na ucheki video yao hapo juu...project yao inayofata ni bonge la collabo na FBG...

No comments: