22.11.13

Sunday, October 18, 2009

KWA BABA WA TAIFA BUTIAMA.

Hapa ni sehemu ambayo baba wa taifa alilazwa, kama unavyoona kwa nje kilivyoandikwa.

Ukiingia kwa ndani kaburi lake linaonekana kwa hivi.

Wasanii wakionyesha ushirikiano wa kuweka maua kwa pamoja.

Mangwear, Dataz na Fid Q wakiwa pamoja tayari kwa kuojiwa na Clouds TV

Chid Beenz, Madee na Mangwear

Hapa ni nyuma ya kaburi la baba wa taifa, kuanzia kushoto ni Chege, Marlaw, Baby Madaha, dj choka na Joh Makini

Baby Madaha, dj choka na Maunda Zorro.

Baby Madaha, JB na Juma Nature.

dj choka na mtoto wa Makongoro Nyerere (Julias) pembeni ni Quick Racka.

No comments: