22.11.13

Monday, October 12, 2009

TULIVYOJIACHIA NA FIESTA ONE LOVE MWANZA.

Lilikuwa bata la kimya kimya maeneo fulani, kutoka kushoto ni Mr. Blue, Matonya na Hamidu.

Hamidu, Quick Racka, Mr. Blue katika pozi la kinyamwezi, Au naharibu babu......

ONE LOVE

Chiku akiwa na Big Body kutoka La Familia

Hamidu na Mangwear wakiwa kwenye gari wakisubiri kuitwa kwenye jukwaa la fiesta mwanza.

Kutoka kushoto ni Juxs katikati ni mama mzazi wa Juxs, pembeni ni Mr. Gucci Cyrill wakiwa kwenye pozi la pamoja baada yakutoka kwa steji.

Kaka mkubwa kutoka Wanaume Halisi JB.

Rich One, Doro, Juma Nature na Chidi Beenz

Samaki White katikati mchizi kutoka Mwanza na Samaki Black

Wadada wakali na wenye sauti nzuri...alioko nyuma ni Maunda Zorro pamoja na Baby Madaha.
GANGSTAR GIRL

Chiku mwanadada mkali wa kurap kwa upande wa watoto wakike akiwa na Chid Beenz

Bw. Misosi alikuja kutupa halla kwenye gari la Fiesta.

Juma Nature akiwa na mchizi wa Mwanza.

Huwezi amini Masanja alivyovaa hivi watu wakamsahau na hatimae Mabaunsa alitaka kumzuia kuingia Backstage hadi nilipotokea na kumtambulisha, kweli kubadilisha Image kuna matatizo.

Mr. Blue na Chidi Beenz wakiwa kwenye pozi la pamoja na watoto wa Mwanza.

Baby Madaha akishow love na Adam Mchomvu

Queen wa Mwanza na King wa Mwanza

Mangwea na Quick Racka

Adamu Mchovu akisign kofia ya mwanadafada mmoja kutoka Mwanza

Madj hatari mjini DJ PQ na DJ Naniliii

Mr. Blue, Hamidu na B12 kutoka XXL ya Clouds FM

No comments: