22.11.13

Tuesday, October 06, 2009

WIMBO MPYA KUTOKA KWA HUSSEN MACHOZI.

Wimbo uliotufikia leo kwa blog yetu ni kutoka kwa Marlaw wimbo unaitwa UTAIPENDA akiwa amemshirikisha Joh Makini. Usikilize wimbo huu hapo palipoandikwa fleva mpya za bongo halafu soma na mashairi yake hapo chini

Intro

(Joe) I know u gonna like it, yeah i know u gonna like it,

(Hussein) Yeah yeah, utaipenda he he he utaipenda aah..

Verse 1 (Hussein Machozi)

Siogi nje ndo maana sina wasiwasi (haaa),

sina hofu coz mi sio mbuzi wa shughuli (oh oh ooh),

siogi nje ndo maana sina wasiwasi (yeah yeah),

sina hofu coz mi sio mbuzi wa shughuli,

nakata hizi verse bila wasi (wasiii),

ntakaza mpaka mwisho labda nife keshooo,

hii sio ngoma droo mjomba ushindi lazima (Hii leo),

hii sio ngoma droo mjomba ushindi lazimaaa (Hii leo),

Chorus

Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah),

utaipenda, (leo) utaipendaaa (oh oh ooh),

Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah),

utaipenda, (leo) utaipendaaa,

Verse 2 (Hussein Machozi)

Uso wako unachukia kipaji changu (haaa)

moyo wako unafurahia sauti yanguuu (oh oh ooh)

Uso wako unachukia kipaji changu (yeah yeah)

moyo wako unafurahia sauti yanguuu,

hizo kunde sina kabisa mpango nazo (mpango nazoo),

najua wazi mashuzi zitaniongezea more (more),

walidhani nacheza natania (tania, hii leo),

Mungu sio..........kanipandishaaa (...... meaning hawezi fananishwa na chochote)

Chorus

Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah),

utaipenda, (leo) utaipendaaa (oh oh ooh),

Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah),

utaipenda, (leo) utaipendaaa,

Bridge

A-City is in a house house, yeah

yeah i know u gonna like it,

(utai, u-u utaipendaaaa) aah yeah,i know u gonna like it,

(kwa moyo kwa chuki utaipendaaa), i know u gonna like it baby,yeah, aah


Verse 3 (Joe Makini)

Kama nawa-over dose cocaine,

kama nawa-weka waiting in vain,

chief men hizi ni level za Obama kwa Macain,

kwa feeling hizi lazima utoe machozi hussein,

mashahiri hayalali mtaani yamekuwa security,

microcope haioni impureties na-murder dis,

haya si maigizo ni reality,

nani ana dis u just actress am an actor,

nakimbiza huu mchezo kila bacta look men,

nikianzisha unafata ah ah ah ah,

i am a shutter na kama shutter na shaka ni kina pia,

tunapangilia hatujaribu usinijaribu karibu karibu nikuharibu ukasimulie,

Joe ni Makini kama Shaka ustie, ni bless za Jah, yes bless za Jah,

we make dis noise A-City is in the House, ye-ye- yeah we in a house,

ah yeah, i know u gonna like it baby

Chorus

Kwa moyo, kwa chuki utaipenda (yeah),

utaipenda, (leo) utaipendaaa (oh oh ooh),

Kwa chuki, kwa moyo utaipenda (yeah),

utaipenda, (leo) utaipendaaa,

Outro

yeah, yeah i know u gonna like it

(eh eh eh eh, eh eh eh eh eh) Yeah

I know u gonna like it, (eh eh eh eh, eh eh eh eh eh)

(utaipendaaaaa) heeeeeee

THE END

No comments: