22.11.13

Tuesday, November 10, 2009

Art In Tanzania ( Benjamin Wa Mambo Jambo, Dudubaya & Andrew) Ashimba tour @ Korjaamo in Finland.

Huu ndio ukumbi walioufanyia show Dudubaya na Benjamin.

Mad Ice akitoa maneno yake kwenye kipaza sauti.

Benjamini akiwa jukwaani akiimba huyu akiyarudi, walioudhuria walifaidi sana daah..

Kama kawaida ili sherehe inoge lazima wadada kama hawa wawepo au unabishaaaaaa

Jhikoman

Ikafikia zamu ya Dudubaya ni Mamba kulitawala steji.

Mika Mwamba alikuwa kwenye mitambo kucheki kila kitu kinakaa sawa.

Dudubaya akiwa na Kilimatinde, yeye ni mpiga ngoma wa sanaa sana group.

Wamependeza kwa keli.

No comments: