22.11.13

Wednesday, November 18, 2009

CHIZIKA BASH...

Boo Nako na G Nako

Nick wa II

Gnako na Nick wa pili walikuwa ndani ya chizika bash ijumaa ya tarehe 13,waliwapa wa2 mpango mzima yaani show nzito licha ya tanesco kufanya vioja vyao mara kadhaa machizi wakiwa jukwaani hivo kupelekea watu kukatishiwa stim walizolipia...mzuka ulirudi majenereta yalipoamshwa na kazi ikaendelea kama kawa!...kwa waliohudhuria,ukweli ni kwamba hiphop aint dead asee!...

No comments: