22.11.13

Wednesday, November 18, 2009

NG'E 1982 YAINGIA MADUKANI KWA FUJO.

Hii ni album ya Albert Mangwear inayokwenda kwa jina la Ng'e 1982, Leo imengia rasmi madukani na inasambazwa na FM WASAMBAZAJI pamoja na maduka yote ya ZIZZOU FASHION.

Usiku wa kuamkia leo ilikuwa kazi ni moja tu kugonga mihuri album hii ili wananchi waweze kuzipata kote nchini. Kama unavyoona hapo juu jinsi maandalizi yalivyokuwa.

Wakati album ya mtu mzima Mangwear iko sokoni pia Zizzou Ent imetoa DVD ambayo utaziona video zote kali za wasanii walioko chini ya Zizzou Ent.
Ukiulizia album ya Mangwear usisahau kuulizia na DVD ya wasanii wa Zizzou

No comments: