22.11.13

Sunday, November 08, 2009

SHEREHE ZA UJIO WA KOMBE LA BARCLAYS PREMIER LEAGUE

Hili ndilo kombe lenyewe likiwa kwenye mng'aro wakutosha kabisa.

Model wa siku hiyo akishikilia tiketi ambazo zitawataja wale washindi.

MC wa shughuli nzima alikuwa Bw. Taji Liundi

Wakinadada wakiwa wamevalia full jezi, wakatikati alikuwa ameshikilia tishet ili watu wapande dau na aliyewazidi wenzake aliondoka na hiyo tishet ya Liverpool.

Mnada ukaendelea ukafikia jezi ya Arsenal.

Na mshindi alikuwa huyu

Hawa ndio walioshinda jezi ambazo zilikuwa zinapigiwa mnada, na fedha iliyopatikana hapo ilipelekwa kwa vituo vya watoto yatima.

Idd Kipingu akichukua tiketi na jina litakalosomwa alipata zawadi ya Mpira wa miguu.

Hawa ndio washindi wa mpira wa miguu.

Watoto wa THT wakiwa wameshikilia vitu vyenye muundo kama wa palashut na kuviachia vipeperukie angani.

Kama unavyoviona vikiwa vinaelekea kuleeeeeeee

Vijana wa THT wakionekana wakifanya mazoezi kama wachezaji wa mpira wanavyoingia uwanjani, show yao ilikuwa poa sanaaaaaaaaaa.

No comments: