22.11.13

Wednesday, November 04, 2009

TOUR YA TIP TOP & TMK.

Hii ni show ya tmk na tip top huko mikoani...walipita sehemu mbali mbali kama Kahama, Mbeya, Mwanza n.k

Vijana wakiwa kazini nadhani huyu jamaa alioko hapo katikati ni Mrisho Mpoto.

Berry Black alikuwa na makundi hayo kutoa shavu

Kassimu Mganga.

Berry Black, Mkubwa Fella, Kassimu na Tunda Man.

TMK Wanaume Family na Tip Top Connections wakiwa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kahama(katikati mwenye suti) aliyekwenda kuwatembelea hotelini walipofikia.

Kizazi cha baadae ndio hiki hapa.

No comments: