22.11.13

Friday, November 20, 2009

WASANII WAPANIA KUFUNIKANA KWENYE FIESTA ONE LOVE YA DAR

Baby Madaha akiwa na swahiba wake jana usiku kwenye mazoezi ya mwisho mwisho.

Huyu ndiye DJ Steve B DJ Skillz kutoka Clouds FM akiwa kwenye tabasamu pana

Wasanii wakijadiliana jambo, kushoto ni Suma Lee, Quick Rocka, Amini kutoka THT, na Ditto.

Yang D na Jukx

Rome Jons, Shydel na Arnod Kayand

No comments: