22.11.13

Tuesday, December 01, 2009

MCHUMA WA LADY JAY DEE NDIO HUU.

Msanii wa bongo fleva anayemiliki band ya Machozi, Lady JD amenunua kitu cha Nissan Murano ndicho mchuma anaotembelea town kwa sasa. Kwa hapa kwetu gaari hizi zinahesabika kwa kweli, big up sister kazi zako tunazikubali.

5 comments:

Anonymous said...

jd yupo juu,,haongei sana yeyey vitendo tu ,,,sasa wewe unayeongea sana ,,iweke basi yako na wewe tuione ,au ndo full kupanda vibajaji tu mjini hapa ,na umaarufu wa radioni na kwenye blogs tu ,,unabishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,kaza buti utoke kimaisha kijana ,.acha sound nyingi na ushororo ,ushakuwa waachie vijana mambvo mengine ,

mdau wa ukweli bongozania ,

S.N.I.P.E.R

Anonymous said...

Hi Mr. Appetite,
Gari Murano nzuri ila hazihesabiki labda kwa huko kwenu dar. Nipo arusha na zipo 4 tena zinaendeshwa na madem wa kawa kbs.
Biiiiiiiiiig time!!

Anonymous said...

MI NIKO NIMEONDOKA BONGO SINCE LAST YR NA HZO MURANO MBONA BONGO ZIKO UKITAKA NJOO ILALA UONE WAKINGA NA WAARAB NDO UTAJUA KAMA ZINAHESABIKA AU LAA...THE GOOD THING THEY KEEP IT LOW HAWAJIONYESHI KAMA WATU WANAOKAA SEHEMU ZINGINE ZA BONGO..ILA YAPO KASHUHUDIE MAGARI ILALA AMBAYO HUJAYAONA MJINI YENYEWE YANAISHIA KARIAKOO TU.
LASTLY HONGERA SANA JIDE...MUNGU AKUZIDISHIE UPATE ZAIDI NA ZAIDI!

Anonymous said...

Hiv choka? Naomba Niulize Swali;

Kwani Vogue,Hummer,V8 Discovery na Hilo Gari Alionunua JD Lipi Lenye Thamani kubwa?

Kuna Kitu Kinaitwa Kupenda Kitu,Kama Hayo Magari Yapo Machache Basi Ujue Watu Hawayapendi sana Ndo maana Vogue ni xpensive lkn Yapo Mengi:Vogue1 Unanunua gari Kama 4 za JD...

Kwayo Kuwa machache ujue Bongo wenye hela zao hawayapendi! Choka Ushaona Kuna Watu Wana Bentely,Escalade Lkn Hawatangazi...Mtu Kapata gari Ya Kijapan Anatangaza....wtf z that?

Anonymous said...

guys the car is cool, the lady is a struggle she diverse it, thats real