Dear All!
Heri ya sikukuu ya Chismasi na Mwaka mpya, ni matumaini yangu wote muwazima wa afya njema.
Msimu mpya wa shindano la Maisha Plus umekwisha shika hatamu, baada ya kumalizika kwa vipindi vya usaili na kila mkoa kujipatia washindi sasa hatua ya mwisho ya shindano hilo imefikia hatua ya kuelekea kijijini.
Lakini kuelekea katika tukio hilo la kihistoria, Disemba 31 saa tano kamili asubuhi kutakuwa na mkutano wa waandishi wa habari na washiriki 42 waliofanikiwa kuingia katika hatua hii kubwa.Mkutano huu utafanyika katika hoteli ya City Style iliyopo Sinza.
Kila mwandishi aliyetumiwa mwaliko huu athibitishe ushiriki wake kabla ya tarehe 30 saa kumi jioni. kwa njia ya barua pepe au simu na aandike namba yake ya simu.
Maisha Plus (Where Life Makes Sense)
Regards
Mratibu Habari
0717 551355
No comments:
Post a Comment