22.11.13

Thursday, December 10, 2009

MSONDO NGOMA WALIVYOTAMBULISHA ALBUM YAO.

Waimbaji wa bendi ya Msondo music wakiwajibika wakati wa onesho lao la utambulisho wa albamu yao ya huna shukrani, lililofanyika Dar es salaam jana kushoto ni Isihaka Katima na Juma Katundu.(Picha na Rajabu Mhamila)

Muimbaji wa bendi ya Africani stars Twanga pepeta Saulo John 'Alex Fagason' akiwajibika wakati wa kuisindikiza bendi ya msondo kutambulisha albamu yakle ya huna shukrani.(Picha na Rajabu Mhamila)

Mnenguaji wa bendi ya msondo ngoma music, Amina Said 'Queen Emmy' akiwajibika wakati wa onesho la kutambulisha albam ya bendi hiyo, Dar es salaam jana.(Picha na Rajabu Mhamila)

Wanenguaji wa bendi ya Twanga pepeta wakiwajibika wakati wa onesho la kuisindikiza bendi ya Msondo kutambulisha albamu yake ya huna Shukrani.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments: