22.11.13

Friday, December 18, 2009

MWAKA 2010 NI JIWE BAADA YA JIWE.

Msanii Izzo Biznes amesema kwamba mwaka 2010 ni mwaka wakutoa mawe tuu, na tarehe 26 mwezi huu ataachia jiwe lake jingine linaloitwa BIZNESS ambalo litakuwa lakufungia mwaka na kuukaribisha mwaka. Mkono huo umesimamiwa na Producer Marco Chali aka Marco Chizikidogo, pia kwa maoni zaidi unaweza kumcheki mwenyewe Izzo kwa mail yake inayoitwa izzobusiness@yahoo.com

No comments: