22.11.13

Tuesday, December 08, 2009

NYIMBO ZILIZOTUFIKIA, HAPPY B,DAY SOLO THANG

HEY Whats Good my People?...8 of dec is My Birthday....
To Celebrate, I release this Brand New Single called MTOTO WA DOWN TOWN, Produced by D Money from DownTown Records.
This is my second single from my upcoming 4th Album "I AM TRAVELLAH"...which will contain a dozen of hot Tunes with conscious Lyrics..to be released early next Year 2010!
WISH U ALL MERRY X MASS & HAPPY NEW YEAR!

Mambo vipi,
Pokea kazi yangu mpya inaitwa BED AND BREAKFAST ambayo nimeitengeneza katika studio za B.HITZ MUSIC GROUP chini ya Producer Hermy B.

Mastering ikafanyika katika studio ya OGOPA DEE JAYS KENYA.

Video ya wimbo huu itafanyika mwezi huu ndani ya JOHANNESBURG SOUTH AFRICA na itafanywa na kampuni bora kabisa AFRICA inayojulikana kwa jina la FILM ONLINE ambayo ilimfanya hata mwana muziki kutoka S.A HHP kuchukua tuzo ya BEST VIDEO MTV 2009,Na wameshafanya video nyingi za wanamuziki wa Nigeria pia.

Lengo kuu ni kupiga hatua zaidi katika anga za kimataifa nasi Tanzania tuwepo kwenye level walizokuwepo wengine waliotutangulia kama NIGERIA na SOUTH AFRICA.
Najua yote haya yanafanyika kwa kuwa mnanisupport sana,NAPENDA KUSEMA NAWASHUKURU SANA,MSICHOKE KUNISUPPORT NA SITAWAANGUSHA.

Mtaniwia radhi kwa kuwa kwenye hii track kuna sauti ya dada mmoja yeye hataki kupewa credit zake kwa sababu zake binafsi ndio maana hakuna FEATURING
ila kwa mimi naona ana uwezo sana wa kufanya mambo makubwa katika muziki ndio maana nikamuweka humo.

Lyrics za wimbo huu nitazituma muda wowote kuanzia kesho.

TUFUNGE MWAKA NA KUUANZA MWAKA MPYA NA MZIGO KUTOKA KWA MZEE WA COMMERCIAL AY

BED AND BREAKFAST.........BED AND BREAKFAST
MUCH RESPECT!!!
AY

NYIMBO NYINGINE ZILIZOTUFIKIA NI PAMOJA NA WIMBO MPYA WA
STEVE ft BABY BOY - ONE LOVE
K-LYNE - UM NOT A FLIRT
GOZBY - ZAKAYO

No comments: