22.11.13

Saturday, December 26, 2009

WASANII WATOA ZAWADI ZA XMASS KWA WATOTO.

Mangwea akitoa zawadi kwa watoto walioonyesha vibaji vyao kwenye tamasha lililoandaliwa na Machozi Band pale Zhong Garden

Moracka akigawa pipi zakutosha kwa watoto

Baadae walipata burudani kidogo kutoka kwa kaka zao waliokuja kwenye tamasha hilo

No comments: