22.11.13

Saturday, January 02, 2010

TULIVYOUONA MWAKA KWENYE PARTY YA KIMYA KIMYA.

Keki ya kuufungua mwaka tuliyoletewa na wenyeji wetu ilkuwa nzuri na tamu.

Ikafikia zamu ya kukata keki, kila mtu alijitokeza kuweka baraka zake kwenye keki.

Jikoni kulikuwa kama hivi unavyojionea.

Mr. Apetiteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Saa 6 usiku ilifika na hakuna asiyefurahi kila mtu alifurahi.

Martin aliifungua shampen kuhashiria amani na upendo.

Wengine walipiga magoti na kumshukuru mungu

Cheerz.

Hapa sasa kila mtu anafanya kituko anachokitaka

dj choka, Martin, Moracka & Nas 3

Moracka akiwa na flowerz wakifurahi kwa pamoja

No comments: