Msanii Moracka leo mchana atafanya video yake ya wimbo wake mpya unaoitwa
SHE GOT IT ambao amemshirikia mwanadafada
DIVA. Moracka ameniambia video hiyo inafanywa na kampuni ya Kallage's Picture.
Maandalizi ya video huwa ni hivi, nikirudi nitakuja picha za video hii ikiwa inatengenezwa wadau.
No comments:
Post a Comment