22.11.13

Friday, May 07, 2010

JUMAPILI HII PALE COCO BEACH.

Ile show ya Hip Hop KING OF STAGE sasa itafanyika jumapili hii ya tarehe 9 May kuanzia saa 1 usiku kwa kiingilio cha Tshs 5,000/=.
Wasanii watakaochuana ni Mansu-li, Rado, LWP, Rage, Imamu Abbas, Bon'Crewz, Seriouz Manizzle...show itasindikizwa na Kikosi cha Mizinga, JCB kutoka Arusha, na The Masharikans
Si yakukosa Oiiii...

No comments: