LOCATION 1. (KIJITONYAMA SAYANSI)
Radhia na Nikki wa Pili, hapa walikuwa wanajianda tayari kwa kuchukuliwa shot zao. Radhia yeye katika hii video kacheza kama model. Katika hii video DJ Choka amechepa kipart fulani hivi ambacho siwezi kuelezea ila mtakiona video ikitoka.
Nafurahishwa na sikuhizi wasanii wetu wamekuwa wakifanya video hupenda kuvalia mavazi yenye majina ya Mkoa wao au kitu chochote kinachoashiria kimetengenezwa home. Kama mchizi mnaemuona hapo yeye alikuja kapiga tishet ya Arusha akiwa na Model mwingine anayeitwa Nargis
Kuanzia kushoto huyu dada unayemuona na hawa wawili baada ya DJ Choka wote wameonekana katika video hii na kila mtu kala shavu lake, hapa tulikuwa bado eneo la Kijitonyama.
Pipi alikuwepo kuwaweka sawa ma model wetu na kuhakikisha kila kitu kinaenda muruwaaa.
LOCATION 2. (THE JOINT-MBEZI BEACH)
LOCATION 2. (THE JOINT-MBEZI BEACH)
Watu wazima wakiwa tayari kwa kupigwa shot zao, wapili kutoka kushoto namuona Producer Dunga, aliyekaa ni G-Nako, kule pembeni ni Rama D, Joh Makini aliyekaa pamoja na Bonta.
Major kutoka Visual Lab akiwa na Camera akicheki cheki kama watu wanajipanga vizuri ili Adamu aje amalize shughuli.
Radhia & Nargis, bado niwanafunzi ilibidi kumaliza shot zao haraka ili warudishwe makwao (GETI KALI)
1 comment:
dogo lng radhy na nargic jamani wanawaka kama kawiz...
Post a Comment