22.11.13

Friday, September 23, 2011

DIAMOND yupo njiani kuelekea BURUNDI.

Msanii Diamond hivi sasa yupo njiani anaelekea BURUNDI kwenye show zake, ingawa alikuwa haraka sana hakuweza kuniambia atakuwa huko kwa mda gani ila amewaomba wakazi wa Burundi wasikiapo matangazo ya show yake basi wasisite kuhudhuria kwa wingi.

No comments: