Haya ni mahafali ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Baobab iliyopo karibia na Bagamoyo, pichani ni mdogo wangu wa mwisho katika familia yetu ndio alikuwa anagraduu siku hii na anaitwa Judy
Akienda kuchukuwa vyeti vyake
Judy akiwa na vyeti vyake vya form 4
Kushoto ni mdogo wangu wa 3 anaitwa Neema pamoja na Judy
Anayeanza kushoto ndio meneja wa dj choka ambaye ndio mama mzaa chema na akiwa na watoto wake, anayefuatia ni mdogo wangu wa 2 anaitwa Jack ambaye kwa sasa ameshaolewa na akiwa na mtoto wake mwenye miezi miwili sasa
4 comments:
wat a nice n wounderful family you have there Meku, b all blessed man. Much luv
Mdau MJ
India
nkalibishe kwenu kaka
nkalibishe kwenu kaka
Ahaaa..... Kumbe Dj Choka waweza kuwa shemeji yangu?
Post a Comment