22.11.13

Friday, September 23, 2011

JCB kupiga collabo na HARDMAD.

Mtu mzima JCB kutoka Arusha (Atown) anatarajia kuachia wimbo mwingine mpya ambao atakuwa amemshirikisha msanii kutoka bongo anajulikana kwa jina Hardman. JCB ameniambia kuwa wimbo huo utakuwa unaitwa DUNIA KIZANI, studio iliyotumika kutengeneza wimbo huo ni Fish Crab chini ya Producer Lamar.

No comments: