22.11.13

Monday, September 19, 2011

The Making Video of LETS DANCE. Naj ft AY

Msanii wa bongo fleva NAJ, usiku wa kuamkia leo alikuwa akifanya video yake mpya inayokwenda kwa jina la LETS DANCE ambayo amemshirikisha msanii mkongwe katika game AY. Video hii imetengenezwa na Adam Juma kutoka Visual Lab, Wimbo umetengene na MJ Rec chini ya Producer Marco Chali.

No comments: