Baada ya ngoma yao ya kwanza "Ngastuka" Watoto wa Bibi Jambo Squad warudi tena,round hii wakiwa wameshirikiana na G Nako(Hook) na Bayo(Last verse),wimbo unaitwa Tofauti sana na story ukiwa umefanyiwa production na John Blass(John B) wa Grandmaster Productions Arrachugga.....
Jambo Squad ft G Nako&Bayo(Grandmaster) - Tofauti sana na story
2 comments:
ni sebere bidenege, full kinyulaaa haina gweraaaa... Hilo ni bonge moja la hiphopweraaaa... Hilo ni bonge moja la hiphop
terrific
Post a Comment