22.11.13

Sunday, September 18, 2011

New Track: Sumu ya Roho - Ray Bee ft Cptain EO (EAST AFRICA)

Wasanii hawa wa muziki kizazi  kipya wa BongoHip Hop " Captain EO (Kenya) Ray Bee(Tanzania)"  wakiwa katika maandalizi ya ALBUM {Magic Ya Hip Hop}, itakayokua ya kwanza kabisa katika group lao maarufu kama EAST AFRICA. Wameshilikiana tena katika single yao mpya ya "Sumu Ya Roho" Inayozungumzia ukweli wa kwamba dunia inazidi kubadirika, hivyo basi yatufaa kukaa tayari yaani ready kukabiliana na vikwazo vingi tena zaidi maana inavyoonekana sasa kuna mambo mengi sana yanayoendelea katika dunia hii ya leo kwa ujumla.

Listen and download for promo ONLY.

1 comment:

Anonymous said...

upumbavu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa