22.11.13

Monday, September 19, 2011

NIKACHEZEA MAJI YA KILIMANJARO

Daaah jana usiku wa kuamkia leo nipo zangu nakula kijiraha ndani ya Maisha Club nilishtukia nimeoga kinoma na maji ya kopo baada ya Mwana FA kujua ndio nimezaliwa. Lakini ndugu yangu FA sasa siungenimwagia na maji ya moto mweeeh, maji yabaridi ndani kuna AC basi patamu hapo.

No comments: