Hivi karibuni Tetemesha recordz tulisambaza wimbo mpya wa Sajna unaoitwa YAMENISHINDA, na tuka promise video inakuja soon. Hizi ni picha chache za video making ya wimbo wa MGANGA na YAMENISHINDA zote za SAJNA, ambayo imefanyika last weekend jijini Dar. Video imefanywa na kampuni ya Showbiz defined na inategemewa kutoka mwisho wa mwezi huu wa september 2011.
Stay tuned.
Stay tuned.
No comments:
Post a Comment