22.11.13

Thursday, September 15, 2011

TALAVENCHA KUWAAGA MASELA.

Rafiki yangu wa siku nyingi anatambulika kwa jina la Talavencha aka Tal V ambaye amechukuwa umaarufu sana kupitia radio za hapa nyumbani kwa kutuma salamu na kuchagua nyimbo za wasanii wa kibongo. 
Tal V anatarajia kufunga pingu za maisha siku ya Ijumaa tarehe 23 mwezi huu kule ZANZIBAR. Nakutakia kila la heri ndugu yangu wa ukweli, usherehekee salama na urudi salama kuyaanza maisha mazuri ya ndoa. One

No comments: