NEW VIDEO; SILVER ft. STEVE RnB - WAWEZA KWENDA
Hello mdau,
Silver msanii wa Hiphop, baada ya kuachia audio ya BONGO TZ aliyofanya na Jay Moe.. hivi leo ameachia Video ya wimbo wake mpya unaoitwa "WAWEZA KWENDA" akimshirikisha Steve RnB ambapo Audio yake anategemea kuiachia hapo baadaye.
1 comment:
Hey Producer,
Video Cinematography is good but kuna marekebisho kidogo ya Synronising Audio na pia Black bar in left side u should match the right side sijui kama ulisahau CROPPING. Wasanii na bit haviendani bit na uimbaji vinapishana that i wanted top say man!
But keep up with a good work u'll get there.
Mdau KANSAS-USA
Post a Comment