Baada ya muda mrefu wa ukimya Cannibal sasa ahamia Nairobi kutoka Mombasa ili kukidhi mahitaji ya fans wake vizuri zaidi..ujio wake mpya unatanguliwa na joint yake mpya inayoitwa Here I come aliyoifanya na Wendy Kimani,,,,,tarajia mengi kutoka kwa cannibal,ikiwa ni pamoja na Collabo za nguvu toka Tanzania,,,stay tuned
Sikiliza wimbo huu Canibal ft Wendy Kimani - Here I Come
Angalia video yake..
No comments:
Post a Comment