22.11.13

Sunday, October 23, 2011

Dislimination volume ya pili ipo jikoni...

dCee na Slim,wanaendeleza harakati za kuunda volume two ya mixtape yao  "diSLimination".vlume one iliyokwisha toka inaendelea kufanya vema katika kuwatangaza machiz hawa toka arachuga moko,"tuna appreciate response ya fans we2 ndani na nje ya tanzania,without y'all sisi hatupo kimziki..so kama kawaida hapa ni  mikandamizo ya volume after volume till we drop dead,single yetu mpya ni club banger tuliyomshirikisha Banx na Georse,beat imetoka pande za malaysia from mchiz we2 aboud wa "NO FISHING RECORDS",na vocals plus mixing 2mefanya apa apa arachuga pande za noizmekah kwa Defxtro,ngoma inaitwa "Party is a Party" na inapatikana FREE kupitia noizmekah.com special kwa watu we2 wote waruka kwanja!

No comments: