22.11.13

Monday, October 03, 2011

THE MAKING OF HAKUNA MATATA "DEMIAN"

Leo mchana ilikuwa ni kazi ya utengenezaji wa video mpya ya msanii mpya wa bongo fleva anajulikana kwa jina la DEMIAN. Video ya wimbo huo unaitwa HAKUNA MATATA ambao umetengenezwa na studio mpya inayoitwa HEBRON STUDIOS chini ya Producer SAM MBOYA.
Video hii haitochukuwa mda kutoka na video hii imetengezwa na shemeji yetu namaanisha mke wa msanii Rama D anaitwa JASMIN.

Listen and download for promo ONLY

No comments: