Moplus aka bAbA wa UkOo toka 009 unGAlimited ana mpango wa kuangusha tena collabo kama jinsi alivofanya na Mwamba Johmakini,akizungumzia projects zake na mtazamo wa soko la hiphop tanzania,"Market ya muziki wa hiphop kwa jinsi nafaham,ni changa na bado inakuwa siku hadi siku so strategy ambayo mcs wa hiphop tunatakiwa kuwa nayo ni umoja,upendo na USHIRIKIANO katika kazi ya music,mimi binafsi nadhihirisha hilo kwa kuwa na ushirikiano na fellow mcs katika kuendeleza harakati through collaboration mbalimbali kama vile mixtape yangu ya pamoja na JCB,Itakayokuwa sokoni mwanzo wa 2012,Collabo na Vatoloco soldiers katika album yao ya Ungalimi to Queens,Collaboo na m2 mzima Roma mkatoliki pia na audio/video na JohMakini-XRAY ambayo ipo katika media na internet kupitia website ya Noizmekah.com
No comments:
Post a Comment