22.11.13

Thursday, October 06, 2011

New Track: GO CRAZY by SAJJU

Msanii mpya kwenye game hili la bongo fleva anajulikana kwa jina la Sajju ametoa wimbo wake mpya unaoitwa GO CRAZY akiwa amewashirikisha wasanii wa hapa hapa bongo K Style & Gosby. Kazi hii imetengenezwa pale maeneo ya Mbezi Beach katika studio ya Authentic chini ya Producer Max, sikiliza wimbo huu halafu unipe maoni yako kama dogo anaweza au aupige chini mziki huu

K Style, Sajju & Gosby wakiwa nje ya studio ya Authentic Mbezi Beach

No comments: