Bou Nako toka kundi la NAKO2NAKO soldiers yupo katika harakati nyinginezo za kuendesha maisha lakini mziki upo kwenye blood,hii inadhihirishw na kazi yake mpya alomshirikisha mwanadafada narx.pini linaitwa"Ish kama hizi" ikimaanisha "mambo kama haya",ambayo ni hiphop joint inayozungumzia zaidi hustling za machizi na jamii inavyopotoshwa na siasa danganyifu kila leo,hali ya maisha kuwa duni na hiphop kuwa njia ya ukweli katika kukomboa fikra zetu vijana"
1 comment:
Hapa Bou Nako katoka fresh,hiyo ni bonge ya ngoma arifu
Post a Comment