Track inaitwa So Fly imefanyiwa mastering ndani ya studio za snap records chini ya Producer Kevi, baada ya Torgizzle kutumiwa beat na vocal na Juan Kennedy ambaye ni Raia wa US ambaye anakaa California, so mpango mzima tukamalizia vocal zetu na kila kitu ndani ya snap track ikawa tumesimama Torgizzle, Ngase P n Juan
Sikiliza wimbo huu
No comments:
Post a Comment