22.11.13

Thursday, November 17, 2011

KICHWA KIPYA KUTOKA MTWARA KATIKA BONGO FLEVA "DOGO DAS"

Nyimbo hii inaitwa BADO MAPEMA imefanyika ndani ya studio za K.P PRODUCTION chini ya JOFU MASTER,Mtwara Tanzania.nategemea sana support yenu katika huu mzunguko wa mziki,ndio nyimbo yangu ninayoitegemea itanitambulisha katika game hili.ahsanteni sana kwa msaada wenu mtakaonipatia

Sikiliza wimbo huu hapa: DOGO DAS-BADO MAPEMA

No comments: