22.11.13

Thursday, November 17, 2011

NEW MLAB RELEASE: AU - Nikki Mbishi feat. Nuruel

Kama nilivyokwisha kudokezeni kwa email niliyowatumia jana, Napenda kuwatumieni rasmi wimbo mpya wa Nikki mbishi aliomshirikisha msanii mkongwe wa RnB hapa bongo akifahamika kwa jila la Nurueli. mwimbo huu ni sehemu ya zile nyimbo kumi na nane zitakazopatikana katika album ya SAUTI YA JOGOO. Details za nyimbo hii ni kama zifuatazo:

Artist: Nikki Mbishi feat. Nuruel
Song title: AU
Composed By: Nikki, Nuruel & duke
Produced,Arranged and mixed by:  Duketachez for M lab
Project: SAUTI YA JOGOO

Sikiliza wimbo huu hapa: Nikki Mbishi ft, Nurwell - AU

Tunaomba sana msukumo mkubwa wa hii nyimbo kusudi isaidie kuelimisha watu kuhusiana na ujio wa album hii itakayokuwa madukani kuanzia tarehe 26 November 2011. maduka kadhaa yameorodheshwa katika poster  iliyoambatanishwa na email hii. kwa maelezo ya ziada basi usichoke kutembelea tovuti yetu : www.mlabrecords.com ama webpage yetu: http://www.facebook.com/pages/Music-Lab/124075014300995

No comments: